Elisi Katika Nchi ya Ajabu (Alice in Wonderland)
Lewis Carroll translated by St Lo DE MALETZamani sana mzungu mmoja aliyependwa na watoto, aliwahadithia habari tamu sana za ndoto kuhusu mtoto aliyesafiri na kuenda mahali pa ajabu.
Sababu mimi pia ninapenda watoto waafrika, nimefikiri watapenda sana kuiskia hadithi hii kwa lugha yao nzuri. Furaha ya watoto, kwangu ni thawabu.
Njoni watoto na mkae. Sikizeni nitakaposoma maneno na matendo ya Elisi.
Рік:
1967
Видавництво:
THE SHELDON PRESS
Мова:
swahili
Сторінки:
116
Файл:
PDF, 5.86 MB
IPFS:
,
swahili, 1967